
JUKWAA LA TATU LA WAKUU WA TAASISI ZA SMT/SMZ LAFUNGULIWA ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amesema Kongamano la Jukwaa la Wakuu wa Taasisi za SMT na SMZ lina lengo la kuwakutanisha Wakuu wa Taasisi za hizo katika kujenga mashirikiano ya kiutendaji katika kutatua changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi katika sekta wanazozisimamia. Ameyasema hayo wakati wa Ufunguzi wa Jukwaa la tatu…