
Watoto 7 wamekufa kwa baridi kali Gaza huku makumi wakiuawa – DW – 06.01.2025
Taarifa ya vifo vya watoto hao imetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) ambalo limesema pia kuwa karibu watoto wachanga 7,700 katika eneo la Gaza lililoharibiwa na vita, wanaishi katika makazi duni kutokana na mgogoro unaoendelea kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Hamas. Shirika la habari la…