NDERIANANGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS IFAD
***** NA. MWANDISHI WETU BERLIN, UJERUMANI Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bi. Gérardine Mukeshimana, katika kikao cha pembezoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Watu Wenye Ulemavu…