
Mtangazaji aliyedaiwa kupotea apatikana kwa shangazi yake Kitunda
Dar es Salam. Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas, mkazi wa Mbezi Beach African, Dar es Salaam aliyedaiwa kupotea Januari 3, 2025 amepatikana akiwa kwa shangazi yake Kitunda. Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime iliyotolewa jana Januari 5, Makao Makuu ya Polisi Dodoma, imebainisha kuwa baada ya ufuatiliaji…