MOI KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA WIKI YA AFYA KITAIFA DODOMA
***** Na Erick Dilli- DODOMA Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika Wiki ya Afya kitaifa 2025 inayofanyika jijini Dodoma, ambapo wananchi watapa huduma za matibabu ya kibingwa ya mifupa, ubongo, mgongo, mishipa ya fahamu na ushauri wa kitaalam. Uzinduzi wa wiki hiyo umefanyika leo Ijumaa Aprili 04, 2025 katika ukumbi…