Tanzania yajipanga na ushuru mpya wa Trump
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua hatua ya kulinda ukuaji wa uchumi ikiwa ni siku mbili baada ya Rais Marekani, Donald Trump kutangaza hali ya dharura ya kiuchumi nchini mwake iliyokwenda sambamba kuwekwa kwa ushuru wa angalau asilimia 10 kwa kila bidhaa inayoingia nchini humo. Katika tangazo lake Trump amesema kuanzia Aprili…