Kipindupindu, ukosefu wa vyoo vyafunga mgodi wa dhahabu

Katavi. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf ameagiza kufungwa kwa shughuli za uchimbaji madini ya dhahabu katika migodi ya Lumuka iliyopo Kijiji cha Dirifu kutokana na watu 17 kugundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa kupindupindu. Hali hiyo imekuja baada ya kutembelea maeneo ya migodi leo Jumatatu, Januari 6, 2025 na kukuta watu wanaofanya shughuli kwenye…

Read More

Walimu wa sayansi kurudishwa darasani

Tarime. Serikali inatarajia kutoa mafunzo kwa walimu zaidi ya 9,000 wa masomo ya sayansi, hisabati na Tekonolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kwa shule za sekondari nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha elimu. Idadi hiyo inatarajiwa kufikiwa Machi mwaka huu, ikiwa ni awamu ya kwanza ya mpango huo kabla ya awamu nyingine, ili…

Read More

Sh2.5 bilioni kujenga stendi ya kisasa Chunya

Mbeya. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa yenye uwezo wa kuchukua mabasi 100 kwa siku na vibanda 300 vya biashara. Mradi huo unakadiriwa kugharimu zaidi ya Sh2.5 bilioni na utakamilika Septemba mwakani. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Januari 6, 2025, Mwenyekiti wa Halmashauri ya…

Read More

Hali tete kituo cha mabasi Msamvu, abiria wakisongamana

Morogoro. Kituo cha mabasi Msamvu mkoani Morogoro kuna ongezeko kubwa la abiria, wakiwamo wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya likizo kumalizika. Pia nauli zimepaa, hali inayotajwa kuchangiwa na uchache wa magari. Mwananchi Digital imefika kituoni hapo leo Jumatatu, Januari 6, 2025 na kuzungumza na baadhi ya abiria akiwamo Magdalena Olomi, anayesema kumekuwa na tabia ya wasafirishaji…

Read More