Mtibwa Sugar bado 9 tu Championship
Mtibwa Sugar kwa sasa inahitaji pointi tisa tu kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuteremka msimu uliopita. Mtibwa Sugar inaongoza Ligi ya Championship baada ya kucheza mechi 25, ikishinda 19, sare tatu na kupoteza tatu ikifanikiwa kukusanya pointi 60, imebakiza mechi tano ili kuhitimisha msimu huu. Katika mechi hizo tano zenye pointi 15, endapo…