
Okutu aweka ngumu Pamba Jiji
KITENDO cha mabosi wa Pamba Jiji kutaka kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa timu hiyo, Eric Okutu, kambi ya mchezaji huyo Mghana imeibuka na kudai haikubaliani na jambo hilo, isipokuwa kwa sharti moja la kuuvunja mkataba uliobaki wa miezi sita. Viongozi wa Pamba wanahitaji kumpeleka Okutu kwa mkopo KenGold na hii ni baada ya kuinasa saini…