Balozi Bandora afariki dunia, kuzikwa Desemba 16
Dar es Salaam. Mwanadiplomasia nguli wa Tanzania, aliyewahi kuhudumu kama Balozi wa Tanzania nchini Nigeria na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Eswatini na Namibia, Timothy Bandora (72), amefariki dunia akiwa jijini Nairobi, nchini Kenya, ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Bandora, ambaye aliitumikia Serikali kuanzia awamu ya kwanza hadi ya tatu, alitekeleza majukumu mbalimbali ya…