Matamasha yawakumbusha mbali | Mwanaspoti

WAKATI leo likifanyika Tamasha la Simba Day, likifuatiwa na Wiki ya Mwananchi keshokutwa Ijumaa, wachezaji waliowahi kucheza Simba na Yanga wametoa kumbukumbu zao juu ya matamasha hayo. Simba Day inayofanyika leo, ni msimu wa 17 tangu Klabu ya Simba kulianzisha mwaka 2009, huku upande wa Yanga ikifanya Wiki ya Mwananchi kwa mwaka wa saba. Katika…

Read More

Simba, Gor Mahia kukumbushia 2018

BAADA ya miaka saba kupita, hatimaye miamba ya soka la Tanzania na Kenya, Simba na Gor Mahia Zinakutana tena leo Jumatano katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kwenye kilele cha Tamasha la Simba Day utakaochezwa Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar. Mara ya mwisho timu hizo kukutana, ilikuwa Juni 2018 na Simba ilipoteza huko Kenya kwa…

Read More

Mziki mnene wa Simba Day

LEO ndiyo ile siku ya kipekee kwa Simba na mashabiki wa klabu hiyo, iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu. Ni kilele cha Tamasha la Simba Day na ndiyo siku maalumu ya Wanalunyasi hao kutambulisha kikosi kizima kwa msimu mpya wa 2025/2026. Huu ni msimu wa 16 wa Simba Day tangu lilipoanza rasmi mwaka 2009, chini ya Mwenyekiti…

Read More

Hawa ndio wapinzani wa ‘mnyama’ Simba Day

KATIKA kuhitimisha maandalizi ya msimu mpya, Simba itashuka dimbani leo, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili mabingwa wa kihistoria wa Kenya, Gor Mahia katika tamasha la Simba Day. Mechi hiyo ya haitakuwa tu fursa kwa mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi kuwaona wachezaji wapya, bali ni kipimo cha kikosi hicho kabla ya mechi ya Ngao ya…

Read More

Fyatu kususia uchafuzi na uchakachuaji, sorry, uchaguzi

Sambamba na nchi zote zitakazokuwa na uchaguzi mwaka huu, hata Mafyatu, nchi ya ndotoni, itakuwa na uchuguzi karibuni. Kama mjuavyo, Fyatu niliahidi ningeshiriki na kushinda kwa kishindo tena bila kuchakachua au kuchakachuliwa kama uchaguzi ungekuwapo na si uchafuzi na uchakachuaji unaokuja soon. Naona wale wanashangaa. Hamjui fyatu anaweza kufyatuka wakati wowote? Now, why? Nafyatua kimombo…

Read More

Ecua azua la kuzua Yanga, Mfaransa afunguka

KATI ya wachezaji 11 wapya waliotua Yanga kwa ajili ya msimu wa 2025-2026, kiungo mshambuliaji Celestine Ecua mapema tu ameonekana kuwashtua mabosi wa timu hiyo. Ecua ambaye hivi karibuni akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Chad alifunga bao dhidi ya Ghana kisha kuwapa jeuri kubwa mashabiki wa Yanga, ameshtua kutokana na uamuzi alioufanya…

Read More

Watu wa Sudan waliteswa na kuuawa katika ‘nyumba za kuchinjia’, uchunguzi wa haki unasema – maswala ya ulimwengu

Muda kidogo baada ya kuwasilisha ripoti iliyoamriwa kwa Baraza la Haki za Binadamu Huko Geneva Jumanne, Mwenyekiti wa Ujumbe wa Kutafuta Ukweli juu ya Sudan, Mohamed Chande Othman, alisisitiza kwamba Wanajeshi wote wa Jeshi la Sudan (SAF) na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) walikuwa wamefanya uhalifu wa ukatili. Kati ya ushuhuda uliokusanywa kwa ripoti…

Read More

Necta yaonya kusambaza matokeo kwa majina ya watahiniwa

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limewaonya wale wote wanaohifadhi kuhifadhi, kuchapisha, kusambaza au kuonesha hadharani matokeo ya mtihani ya mtahiniwa, kwa kutumia jina lake au taarifa nyingine zozote zinazoweza kusababisha kumtambua mwanafunzi au mtahiniwa bila idhini yake. Kutumia taarifa binafsi zinazomtambulisha mtahiniwa bila kuwa na kibali,  kumetajwa kukiuka Sheria ya Ulinzi…

Read More