INEC yaongeza siku mbili uboreshaji daftari la wapigakura Dar
Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeongeza siku mbili (Machi 24 na 25) za uboreshaji wa daftari la mpigakura kwa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi. Taarifa ya INEC imetolewa leo Machi 23, 2025 na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Jacobs Mwambegele ikiwa ni siku moja…