Masoud atuliza presha Chama la Wana
KOCHA wa Stand United ‘Chama la Wana’, Juma Masoud amewataka mastaa wa timu hiyo kuacha kuangalia kile ambacho wapinzani wao wakubwa Mtibwa Sugar na Mbeya City wanachokifanya, bali wawekeze nguvu katika kila mchezo wanaocheza sasa. Akizungumza na Mwanaspoti, Masoud alisema anachokitaka ni kuona wachezaji wanaendelea kupambana zaidi uwanjani kwa kila mchezo wanaocheza kwa sasa bila…