
Aisha Masaka kuiwahi Chelsea | Mwanaspoti
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Aisha Masaka anayekipiga Brighton & Hove Albion ameondoka nchini baada ya likizo ya wiki moja na anatarajia kurejea uwanjani mwishoni mwa Februari kuuwahi mchezo wa Ligi dhidi ya Chelsea utakaopigwa Machi 02. Masaka alipata jeraha la bega kwenye mchezo wa Ligi Kuu England (W) dhidi ya Arsenal Novemba 9 mwaka huu uliomuweka…