Kapombe aitaka ndoo afrika | Mwanaspoti
BEKI mahiri wa Simba, Shomary Kapombe ameweka wazi kwamba ndoto yake kubwa kwa sasa ni kutwaa ubingwa wa michuano ya kimataifa, iwe Ligi ya Mabingwa Afrika au Kombe la Shirikisho. Kapombe amecheza mara kadhaa katika hatua za juu za michuano ya kimataifa akifika robo fainali mara tatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (misimu ya 2020–21,…