
KITUO KIPYA CHA AFYA CHA CURE SPECIALIZED POLYCLINIC CHAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM, CHAAHIDI KUTOA HUDUMA ZA KISASA ZA AFYA
Na Humphrey Shao, Michuzi tv Kituo kipya cha Afya cha The Cure Specialized Polyclinic kimeziduliwa rasmi leo na papo hapo kusema, kimeajiandaa kuweka kambi maalum ya kutoa huduma za vipimo na matibabu katika kushiriki siku ya Kansa Duniani itakayoadhimishwa mwezi ujao wa Februari mwaka huu. Kituo hicho kimesema, kwenye kambi hiyo, kitatoa chanjo ya Saratani…