
Walimu walivyobainika kwa udanganyifu mtihani darasa la nne, kidato cha pili
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, likionya vitendo vya udanganyifu na kuahidi kuchukua hatua kwa walimu waliohusika. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Januari 4, 2025 na Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Said Mohamed, wanafunzi 1,320,227 kati ya wanafunzi 1,530,911 waliofanya mtihani wa…