
Watano wafariki dunia Russia, Ukraine zikikoleza vita
Kiev. Takriban watu watano wamefariki dunia katika majibizano ya makombora kati ya vikosi vya Russia na Ukraine, Ijumaa Januari 3, 2025. Miongoni mwa mashambulizi yaliyosababisha vifo hivyo ni shambulizi la kombora la Russia katika Jiji la Chernigiv nchini Ukraine. Tovuti ya The Guardian imeripoti kuwa kombora hilo lilirushwa na kupiga eneo la makazi na kusababisha…