John Mrema Alaani Shambulio la Mwenezi Bawacha – Global Publishers
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, ameonesha masikitiko yake kuhusu taarifa iliyotolewa na chama hicho kuhusiana na tukio la shambulio dhidi ya kiongozi wa wanawake taifa wa chama hicho (BAWACHA). Kupitia ukurasa wake wa mtandao…