
PIRAMIDI YA AFYA: 2025 wazee wafanye mazoezi mepesi zaidi
Heri ya mwaka mpya 2025 kwa wasomaji wote wa gazeti hili katika kona ya afya. Leo jicho la kitabibu litawapa ufahamu kuhusu mazoezi mepesi kwa wazee, ambayo wakiyafanya mwaka huu 2025 yatasaidia kuboresha afya ya mwili, hatimaye kuwakinga na magonjwa yasiyoambukiza. Umri wa miaka 60-65 kuendelea huchukuliwa kama umri wa uzee, yaani kipindi ambacho wengi…