Chadema yawaita Dar watia nia ubunge, udiwani
Dar es Salaam. Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, chama hicho kimewaita walioomba (watia nia) wa nafasi mbalimbali kwenye kikao maalumu cha kujadili hali ya kisiasa. Kikao hicho kitakachofanyika Aprili 3, 2025 katika ofisi za makao Makuu ya Chadema, jijini Dar es…