Kituo cha Polisi chafungwa kisa deni la Sh40.9 milioni ya pango
Kenya. Katika hali isiyo ya kawaida Kituo cha Polisi cha Riandira Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na malimbikizi ya deni la kodi ya Sh2 milioni ya Kenya (Sh40.9 milioni za Tanzania). Televisheni ya Citizen nchini humo imeripoti leo Jumanne Machi 25, 2025, kuwa Kituo hicho kimekuwa kikiwahudumia wakazi wa eneo…