Msiba

Mazishi ya aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, marehemu Hassan Mgaya, yamefanyika leo Alhamisi Januari 2, 2025 kwenye makaburi ya Jeti Lumo jijini Dar es Salaam.

Read More

TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi kulipa kodi kwa hiari. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea na kufanya mazungumzo na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Sheikh Abubakar Ali…

Read More

TPSF yabainisha mambo matano ya kuangazia mwaka 2025

Dar es Salaam. Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limeainisha mambo matano makuu litakayoyasimamia mwaka 2025 ili kuendelea kuongeza mchango wake katika uchumi wa nchi. Mambo hayo ni: kuendelea kusukuma ajenda ya ukuaji jumuishi ndani ya sekta binafsi, kuimarisha sera zinazotabirika, kuimarisha mashirika ya sekta binafsi, kukuza mazingira rafiki ya biashara, na kuhamasisha mazungumzo kati…

Read More

'Majukwaa ya kidijitali yanakuza masimulizi ya Israeli huku yakinyamazisha sauti za Wapalestina' — Global Issues

na CIVICUS Alhamisi, Januari 02, 2025 Inter Press Service Jan 02 (IPS) – CIVICUS inajadili changamoto ambazo jumuiya za kiraia za Palestina zinakabiliana nazo katika kupinga ukandamizaji wa kidijitali na kutetea haki na mwanasheria na mtafiti wa Kipalestina Dima Samaro. Kama mkurugenzi wa Skyline International kwa Haki za BinadamuDima inatetea uhuru wa kidijitali na haki…

Read More

Kilio cha Januari, vifaa vya shule bei juu

Dar/Mikoani. Januari ni msimu wa pilikapilika za maandalizi ya shule. Wazazi na walezi wanahangaika huku na kule kusaka mahitaji, huku bei za bidhaa zikiwa tayari zimepaa. Kwa wafanyabiashara ni msimu wa kutengeneza faida kupitia vifaa vya shule kutokana na bei kuongezeka kutokana na ongezeko la mahitaji.  Baadhi ya wazazi na walezi, huu ni msimu wa…

Read More