
Sababu bidhaa za Tanzania kununuliwa zaidi nje ya nchi
Biashara ya kuvuka mipaka imeendelea kuimarika wakati ambao Tanzania imeendelea kuuza zaidi kuliko inavyonunua bidhaa za nje, Ripoti ya Uchumi wa Kikanda ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaeleza. Wakati biashara hiyo ikikua, Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (Tatoa) kimetaka jitihada zaidi katika kupunguza misongamano ya magari mipakani, hasa Tunduma ili kuongeza ufanisi wa…