Mahakama yazuia mashahidi kutajwa kesi ya ugaidi, kusikilizwa faragha
Arusha. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Masjala Ndogo ya Arusha, imetoa amri ya kutokutajwa majina ya mashahidi wala maelezo yao yanayoweza kuwatambulisha katika kesi ya ugaidi inayowakabili watuhumiwa tisa. Watuhumiwa hao ni Zuberi Ngale, Abdul Seif, Jumaa Athumani, Juma Swalehe, Wally Aman, Said Abdallah, Jaluu Ismail na Yusuph Tambala. Kutokana…