
Kitongoji cha ajabu, hakina huduma hata moja ya kijamii
Dar/Morogoro. Zikiwa zimesalia siku 11 shule kufunguliwa, zaidi ya watoto 90 wa Kitongoji cha Mbuyuni hawataanza darasa la kwanza kutokana na kukosekana kwa shule ya msingi katika eneo hilo. Siyo hao pekee, bali inaelezwa watoto wa umri wa kuwepo shuleni na watu wazima wengi wao hawajafanikiwa kusoma kutokana na wakazi wa eneo hilo kushindwa kuwaandikisha…