Trump, Ukraine, matumizi ya ulinzi – DW – 01.01.2025

Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, aliweka vipaumbele vya muungano huo kwa mwaka 2025 katika hotuba ya kutisha akionyesha jinsi vita vilivyo karibu sana na mlango wa muungano huo wa kijeshi. “Kutoka Brussels, inachukua siku moja tu kuendesha gari kufika Ukraine,” alisema katika hotuba ya Desemba katika taasisi ya Carnegie Europe. “Huko ndiko mabomu ya…

Read More

Bondia Mgaya kuzikwa kesho Januari 2, Jeti Lumo

Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025 badala ya leo Jumatano kama ilivyotangazwa awali kutokana na kusubiriwa baba wa marehemu anayetarajia kuwasili leo kutokea DR Congo. Cheka amesema kuwa awali baba wa marehemu alitaka wazike leo kwa…

Read More

Nani kuwa mrithi wa Kinana CCM?

  NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM na hata wafuatiliaji wa karibu wa siasa nchini, hasa mwaka huu ambao Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu Rais, Wabunge na Madiwani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Jibu la swali hilo…

Read More

Mchungaji Mpambichile ‘awachorea ramani’ waumini kufikia mafanikio 2025

Kibaha. Mchungaji wa Kanisa Anglikana la Mtakatifu Gabriel, Kibaha Pwani, Exavia Mpambichile amewahamasisha waumini wake kuanza mwaka mpya wakiwa na malengo thabiti ya maendeleo, hasa katika sekta ya uchumi. Akizungumza katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Januari Mosi, 2025 kwenye kanisa hilo, Mpambichile alisisitiza umuhimu wa kuwa na malengo…

Read More

Straika Mashujaa kuibukia AS Vita

MASHUJAA FC iko kwenye hatua za mwisho kufanya biashara na AS Vita ya DR Congo ambayo inamtaka mshambuliaji Ismail Mgunda. AS Vita inamtaka Mgunda kwenda kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji, ambapo nyota huyo ni mmoja wa mastaa wanaotakiwa na kocha wa kikosi hicho, Youssouph Dabo ambaye ni kocha wa zamani wa Azam FC. Mgunda…

Read More

Usaili wa walimu uliositishwa watangazwa tena

Dodoma. Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imewataka waombaji wote wa kada ya ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usahili huo utafanyika kuanzia Januari 14, 2025 hadi Februari 24 mwaka 2025. Ofisi hiyo ilitangaza kusitisha usaili huo Oktoba 17, 2024 ambapo taarifa ilitokana na tangazo la usaili la Oktoba…

Read More