
Matukio haya kutikisa siasa za Tanzania 2025
Mwaka 2025, kwenye uga wa siasa nchini, utakuwa na matukio mengi ambayo yaanza kurindima kuanzia Januari hii, huku historia ikitarajiwa kuandikwa kupitia matukio hayo ambayo kwa namna moja au nyingine yatakuwa na mengi ya kujifunza. Ni dhahiri kwamba Watanzania, ambao ndio wahusika wakuu katika michakato yote ya kisiasa, watakuwa na nafasi ya kushiriki moja kwa…