Mvua yazitibulia Singida Black Stars, Yanga uzinduzi wa Uwanja mpya
Mechi ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Singida Black Stars baina ya timu hiyo na Yanga, imeishia katika dakika ya 57 kutokana na mvua kubwa kunyesha iliyosababisha mchezo huo kutoendelea. Timu hizo mbili zimekubaliana kutoendelea na mechi hiyo muda mfupi baada ya Singida Black Stars kusawazisha bao kupitia kwa Marouf Tchakei. Kabla ya hapo, Jonathan…