Ujenzi meli MV Mwanza wafikia asilimia 96, kukamilika Mei 27
Mwanza. Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico) imepokea kontena tisa zenye samani za viti vitakavyowekwa ndani ya Meli ya MV Mwanza inayojengwa katika Bandari ya Mwanza Kusini jijini hapa. Hafla ya kupokea kontena zenye viti hivyo imefanyika leo Jumatatu Machi 24, 2025, inapojengwa meli hiyo na kushuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi kwa…