
Mshambuliaji wa New Orleans alichochewa na IS – DW – 02.01.2025
Rais wa Marekani Joe Biden amesema mhusika wa shambulizi la mjini New Orleans alichochewa na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS. Akinukuu taarifa za Shirika la Upelelezi la Marekani FBI, Biden amesema saa chache kabla ya shambulio mhusika huyo alichapisha video kwenye mitandao ya kijamii, zinazoashiria kwamba alihamasishwa na IS, akielezea shauku ya…