
‘Wajawazito kujifungua si mwisho wa kuhudhuria kliniki’
Morogoro. Ofisa Muuguzi Mkunga wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Suzan Mdegela, ametoa wito kwa wanawake waliojifungua kufuata miongozo ya Wizara ya Afya kwa kuhudhuria kliniki ndani ya siku 42 baada ya kujifungua, ili kupata elimu ya afya ya mama na mtoto. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Januari Mosi, 2025 mjini Morogoro, Suzan…