
KO ya Mama imefichua ukweli
NGUMI za kulipwa ndio mchezo ulioifuatia soka kwa ubora mwaka 2024, na wadau wa michezo wanahofu michezo mingine kuendelea kudorora wakati soka ikidaiwa itazidi kuongoza kwa kutoa ajira 2025. Knockout ya Mama ndiyo michuano ya funga mwaka kwa mchezo wa ngumi za kulipwa na pia ni ushuhuda kwamba ndondi ni mchezo wa pili kupendwa nchini …