Mwambusi ashtukia jambo Coastal Union
KOCHA wa Costal Union ya Tanga, Juma Mwambusi, ameshtukia kitu ndani ya timu hiyo huku akijipanga kukomaa na safu yake ya ulinzi iliyoonyesha dosari kubwa huku zikisalia mechi saba kumaliza msimu huu wa Ligi Kuu Bara. Hatua hiyo ya Mwambusi inakuja baada ya kikosi chake kujipima nguvu dhidi ya Taifa Stars, kwenye mchezo wa kirafiki…