
Straika Mashujaa kuibukia AS Vita
MASHUJAA FC iko kwenye hatua za mwisho kufanya biashara na AS Vita ya DR Congo ambayo inamtaka mshambuliaji Ismail Mgunda. AS Vita inamtaka Mgunda kwenda kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji, ambapo nyota huyo ni mmoja wa mastaa wanaotakiwa na kocha wa kikosi hicho, Youssouph Dabo ambaye ni kocha wa zamani wa Azam FC. Mgunda…