Mynaco: Kufunga, kuzuia mbona kawaida tu
KIUNGO wa Zed FC ya Misri, Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema kufunga na kuzuia kwake ni kawaida sana ndio maana anasifika kwa jambo hilo. Kiungo huyo wa zamani wa Simba Queens, Yanga Princess na JKT Queens huu ni msimu wake wa pili kuitumikia timu hiyo na amekuwa kiungo tegemeo. Akizungumza na Mwanaspoti, Mynaco ambaye anaweza kumudu…