Kiongozi Wa Hamas Auawa Na Shambulio La Anga La Israel – Video – Global Publishers
Shambulizi la anga la Israel katika mji wa kusini wa Khan Younis huko Gaza limeua kiongozi mkuu wa chama cha Hamas, Salah al-Bardaweel, afisa wa Hamas amesema leo Jumapili Machi 23, 2025. Kwa mujibu wa ripoti za mashuhuda, shambulizi hilo lilifanyika usiku wa manane, likilenga jengo ambalo Bardaweel alikuwa akiishi na familia…