
Simulizi wanawake walioshinda uchaguzi serikali za mitaa 2024
Safari ya mwanamke katika uongozi hapa nchini imekuwa na changamoto kubwa kutokana na mfumo dume kukita mizizi katika jamii ya Watanzania, hivyo kuwaacha nyuma katika kushiriki kwenye vyombo vya uamuzi. Mkutano wa Beijing uliofanyika mwaka 1995 ulikuwa chachu ya kuongeza kasi ya kupigania usawa wa kijinsia na sasa ni takribani miaka 30 imepita, huku harakati…