TANROADS MANYARA WAPITISHA BAJETI YAO
Na Mwandishi wetu, BabatiWAKALA wa barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Manyara, imeandaa mapendekezo ya mpango wa bajeti ya shilingi 11,529.313 kwa ajili ya kazi za matengenezo na shilingi 164,554.267 ya kazi za maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.Meneja wa TANROADS Mkoa wa Manyara, Dutu Masele ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha ushauri kamati…