Watoto kutibiwa moyo bure Zanzibar
Unguja. Changamoto ya gharama inayowakabili wazazi ambao watoto wao wana matatizo ya moyo, huenda imepata ufumbuzi baada ya kampuni ya simu ya Vodacom kulipia asilimia 30 ya gharama za matibabu. Kwa kawaida visiwani hapa watoto wenye matatizo ya moyo asilimia 70 ya gharama za matibabu hutolewa na Serikali huku asilimia 30 ikitolewa na wazazi wa…