BILIONI 8.9 KULETA NEEMA YA MAJI KWA WANANCHI KATA YA PANGANI KIBAHA MJI
VICTOR MASANGU, KIBAHA Baadhi ya wananchi wa Kata ya Pangani ilyopo katika Halmashauri ya mji Kibaha mkoani Pwani wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutenga kiasi cha shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi…