Global TV Yatangaza Nafasi za Watangazaji – Global Publishers
Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa, jumla ya nafasi 6 zimefunguliwa: 🎤 Burudani & Udaku – nafasi 4 🎤 Masuala ya Kijamii – nafasi 2 Miongoni mwa sifa…