
Usaili wa walimu uliositishwa watangazwa tena
Dodoma. Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imewataka waombaji wote wa kada ya ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usahili huo utafanyika kuanzia Januari 14, 2025 hadi Februari 24 mwaka 2025. Ofisi hiyo ilitangaza kusitisha usaili huo Oktoba 17, 2024 ambapo taarifa ilitokana na tangazo la usaili la Oktoba…