Wasioendeleza visiwa kunyang’anywa Aprili 7

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema ifikapo Aprili 7, 2025 wawekezaji ambao walikodishwa visiwa vidogo lakini hawajaviendeleza watanyang’anywa. Kauli hiyo ni mwendelezo wa zilizotolewa awali kwa nyakati tofauti na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi na Rais Samia Suluhu Hassan alipofungua hoteli ya Kisiwa cha Bawe, Unguja wakati wa shamrasharama za sherehe za…

Read More

Samia amuuma sikio Rais mpya Namibia

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema umoja na mshikamano ndiyo silaha pekee itakayoiwezesha Afrika kuzikabili changamoto zinazoendelea katika mataifa yake, ikiwemo vita vya wenyewe kwa wenyewe. Amesema Afrika ya sasa imebaki kuwa na mataifa ambayo mipaka yake si salama tena na hata dhana ya ujirani mwema imezidiwa na migogoro ya ndani. Kauli hiyo…

Read More

Ripoti yaibua mapya taka zinazooza Dar

Dar es Salaam. Wakati ripoti mpya ikionyesha asilimia 63.4 ya taka zinazozalishwa jijini Dar es Salaam ni zinazooza, wadau wameshauri kampeni za kukabiliana nazo ikiwa moja ya njia za kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Taka hizo ambazo kwa kiasi kikubwa zinatokana na mabaki ya chakula na matunda, zinapooza hutoa gesijoto kama methane na kaboni,…

Read More

Ripoti yazinduliwa kukabili ukatili Zanzibar

Unguja. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar imezindua ripoti kuhusu ukatili wa kijinsia, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuundwa kwa sheria kamili inayoshughulikia tatizo hilo. Akizungumza katika uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika Mjini Unguja leo Machi 21, 2025, Naibu Mwanasheria Mkuu Zanzibar, Shaaban Ramadhan Abdalla amesisitiza umuhimu wa kuwa na sheria moja itakayohakikisha lengo la…

Read More

Sheria maalumu kukabili changamoto za wazee

Morogoro. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Salim Matimbwa amesema changamoto za jumla zinazowakabili wazee zinatokana na kukosekana kwa sheria maalumu itakayosimamia ustawi wa wazee. Matimbwa ameyasema hayo mkoani Morogoro kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la HelpAge kwa lengo la kuelimisha wazee namna ya kujua haki na wajibu…

Read More

Watanzania wakubali huduma za afya, wataka maboresho

Watanzania saba kati ya kumi, sawa na asilimia 68, wanaridhishwa na  jitihada za Serikali katika utoaji wa huduma za afya hata hivyo wametaka nguvu kubwa iongezwe katika uboreshaji wa huduma hizo. Hiyo ni kulingana na utafiti wa Afrobarometer kuhusu Afya ya Jamii nchini Tanzania uliofanyika mwaka 2024 na matokeo yake kutolewa Machi mwaka huu. Akizungumza…

Read More

Chama, Musonda waendelea kutamba Zambia, Mutale amwagwa

Licha ya kutopata muda mwingi wa kucheza katika kikosi cha Yanga, kiungo mshambuliaji Clatous Chama na mshambuliaji Kennedy Musonda wameitwa katika kikosi cha Zambia kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Urusi, Machi 25, 2025 jijini Moscow. Kocha Avram Grant ameteua kikosi cha wachezaji 19 kwa ajili ya mchezo huo akiwajumuisha Musonda…

Read More