Jeshi la Serikali Sudan lafanikiwa kuikomboa Ikulu, waasi wafurushwa
Darfur. Jeshi la Sudan limefanikiwa kuirejesha Ikulu ya taifa hilo iliyopo mji mkuu, Khartoum, nchini Sudan baada ya mapigano makali dhidi ya kundi la wapiganaji wa Rapid Support Forces (RSF) yaliyodumu kwa takriban miaka miwili iliyopita. Kundi la RSF linaongozwa na Jenerali Mohammed Hamdan Dagalo ambaye alifanya uvamizi na kutaka kuipindua Serikali ya Rais wa…