Hizi timu zinashuka Ligi Kuu Bara
ZIMEBAKI mechi saba za kujitetea kwa timu mbili kuepuka kushuka daraja kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu huku takwimu zikionyesha zina kazi kubwa ya kufanya. Timu hizo ni zile zinazoshika nafasi ya 16 na 15 ambapo kama msimu ukimalizika zikiendelea kubaki hapo, basi zitashuka moja kwa moja kama ambavyo Kanuni ya 6(2) ya Ligi Kuu…