
5G yamliza Sultan, asaka beki fasta
BAADA ya kupata aibu ya kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba Queens, kocha mpya wa Alliance Girls, Sultan Juma ameitupia lawama safu ya ulinzi ya timu hiyo na fasta kuamua kutafuta beki wa kati kwenye dirisha dogo ili kuokoa jahazi katika mechi zijazo za Ligi Kuu ya Wanawake (WPL). Kabla ya mchezo huo, kocha…