Waziri Ulega ‘awafyatua’ watumishi mizani
Dodoma. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewasimamisha kazi watumishi wa mizani waliokuwa zamu katika mizani kutoka Tunduma, Mkoa wa Songwe, hadi Vigwaza, Mkoa wa Pwani, kupisha uchunguzi. Agizo hilo limetolewa leo, Alhamisi, Machi 20, 2025, na Waziri Ulega, ambaye ameunda timu ya wataalamu kuchunguza tuhuma zinazowagusa watumishi hao waliokuwa zamu Machi 13, 2025. Hatua hiyo…