Wenye daladala, abiria waeleza adha ukaguzi wa trafiki
Dar es Salaam. Wakati ukaguzi unaofanywa na trafiki kwa magari ya daladala ukilalamikiwa na baadhi ya wamiliki wakidai wanakomolewa, Umoja wa Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam (Darcoboa) umesema huo ni ukaguzi wa kawaida dhidi ya magari mabovu. Ukaguzi huo ulioanza Jumatano, Machi 19, 2025, kwa kuangalia makosa mbalimbali kwenye magari hayo yanayofanya…