
‘Jamii iwakumbue watoto waishio mazingira magumu’
iDar es Salaam. Wakati msimu wa wanafunzi kurudi shuleni ukikaribia, jamii imeaswa kuwakumbuka watoto wanaoshi katika mazingira magumu ili wapate vifaa vya shule kama wanavyopata watoto wengine. Hayo yameelezwa na mfanyabiashara Celine Richard baada ya kuwakabidhi vifaa vya shule watoto hao, waishio katika mazingira magumu leo Manzese Dar es Salaam leo Desemba 31, 2024. Celine…